Zimmerman

MCA: Hon. Pius Mwaura

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

64

Conversations

+2547236xxx
zimmerman. soft road mitaro ya maji imefungana maji kwa barabara
nilituma ward administrator angalie
+2547193xxx
zimmerman ward barabara na takataka kila mahali ni mbaya ..kunanuka
tunangonja wa release pesa watd zote bado pata,taka to be sincere nimejaribu kungangana but nitazunguka nijionee na pls sema hasaa area gani
+2547057xxx
zimmerman Manze mhesh siutuoganize rodi hii yetu ya njathaini na grao ya ball na pia ikiwezekana katornament ka DEC!
noted tutajaribu