Waithaka

MCA: Hon. Anthony Kiragu

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

52

Conversations

+2547216xxx
waithaka Kabiria hujambo hii barabara ya kutoka kahuho hadi pale karimoni tunaomba ututengemezee naitwekie taa hapa karibu na kiwanja hii vijana wanachezeanga ball
Tunafanya mipango ya kuweka taa. Tunaomba subira kidogo
+2547253xxx
waithaka... Ile mataa iko karibu na mama ngina haziwaki .kindly check
Already checked and repaired. Thanks for the information
+2547083xxx
waithaka ward hi mhesh.hope you are fine.iam pleading hizi soko ziko kwa barabara vile mtafanya coz watu wa miguu tunasumbuana na magari na zinagonga watu sana .this kabiria road is too congested. Pliz do something.
Noted.