Waithaka

MCA: Hon. Anthony Kiragu

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

52

Conversations

+2547216xxx
waithaka Kabiria tunamushukuru Mungu kwa kuwa mwema kwetu wana kabiria na kwa tutupa MCA kama wewe Bishop Kiragu Mungu wa Amani azidikukumbariki kwa kazi jema unayo fanya Kabiria
Asante sana Mungu awabariki na awazidishie
+2547216xxx
waithaka Kabiria mhesh Mungu akubariki kwa kazi njema unaoifanya hapa kwetu karibu na full gospel Church Kabiria
Karibu sana. Kazi iendelee hatubahatishi
+2547137xxx
waithaka Bwana bishop Mbona hushugulikii wafanyi biashara wa nembu kuhusu kampeni yako?
Kampeni bado hatujaanza na tutahusisha kila mtu