Mutuini

MCA: Hon. John Mukiri

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

17

Conversations

+254724788xxx
mutuini mhesh bursary zitatoka lini?thanx
+2547072xxx
mutuini gabage inachukuliwa lini
+2547293xxx
Mutuine word tunaomba ututengeneze njia za dagorret south na ujulete gari za kubeba takataka koz zimejaa mpaka tukifagia tunakosa mahali pakuziweka hata tukifagia hatuonekani kama watu wanafanya kazi