Laini Saba

MCA: Hon. Cecilia Ayot

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

50

Conversations

+2547069xxx
lainisaba we what to support coz of the nice job you are doing we need you to be a frequent vistor to the region of linesaba
Thank you I am available for you if need be. From Fridays yo Monday I am around.
+2547069xxx
lainisaba shida ya nyumba kuchomeka na watu kupotenza maisha yao utachukua hatua hipi?
Barabara zinaendelea kuundwa kila sehemu....stima kwa bei nafuu kwa kila nyumba....gari ndogo lakuzima moto yaja...mafunzo ya dharura kwa vijana na kuwahamasisha watu kuwa waangalifu
+2547285xxx
lainisaba wiki hii kunanini??