Laini Saba

MCA: Hon. Cecilia Ayot

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

50

Conversations

+2547277xxx
lainisaba ward,ningependa kuuliza mtu akitaka kupata scholarship to university unaweza msaidia aje?
Tafadhali wasiliana na ofisi ya MP mimi napeana ya secondary na vocational training
+2547273xxx
lainisaba sijai sikia ukiita wakaazi tangu uchanguliwe na kusema asati
Huwa nakutana na watu na kuwarudishia shukrani. Nitumie namba yako pia wewe nikushukuru. Jumamosi 14 narudishia wazee na walemavu asanti.
+2547285xxx
lainisaba, ziwa laine matumbo street to eastern bar inasubua,