+2547967xxx
gachie am voting 4him coz ni jamaa wa mtaani na hana juwa lif ya wasee mtaani. Coz the current one hakuna kitu ame fanya to insure the youth wamepata ma jobs. Mtaa pia plc kama st imekuwa chafu sana nani plc watu wanaweza fanya job machokara ndio wame crowd thru tat wame create insecurity. So am votin 4 change Gachie disavos.