Airbase

Aspirant: Shaffique Otieno

Message Statistics

This Week

0

This Month

0

Total

19

Conversations

+2547254xxx
shaffique je ukiwa mca utafanyia hawker wa eastleigh airbase kuhusu ncc
Nitahakikisha hawkers wa airbase wamepata masaa yao yakufanya biashara yao. Nitapatanisha viongozi Business Community Eastleigh, Viongozi wa hawkers Na Governor atakae chaguliwa tuelewane kwa mfano hawkers wafunguage kazi yao kuanzia 4pm hadi 9pm. Pia kuhakikisha kanjo hawasumbui hawkers kupitia maelewano tukiwa pamoja sote. Asante
+2547208xxx
shaffique UNAWEZA AJE KUNISAIDIA KUPATA MKOPO YA WANAWAKE
+2547204xxx
shaffique.. Niaje bro kura lazima kwako.. niko na kura mob niaje c 2patane basi 2ongie
Wapi ndugu yangu. Hi platform haionyeshi jina na nambari zako kwasababu ya privacy